Mke wa Rais, Mama Janet Magufuli leo ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa baada ya kupata nafuu.
- Aidha Mama Janet Magufuli kabla ya kuondoka katika Wodi ya Sewahaji alipokuwa amelazwa aliwashukuru Madaktari, Wauguzi na Wafanyakazi wote kwa huduma nzuri walizompatia.
No comments:
Post a Comment