Katika baadhi ya instagram account za watu mbalimbali wamepost picha zikimuonesha Nuh Mziwanda na mpenzi wake kuwa wameamua kufunga ndoa, millardayo.com imeongea na Mziwanda na kuthibitisha kufunga ndoa lakini amesema amemuacha mkewe kwao kesho ndio watafanya sherehe na kuondoka na mkewe.
Picha zote kwa hisani ya MillardAyo.com
No comments:
Post a Comment