Monday, 7 November 2016

Ajali yaua 17 Shinyanga

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Muliro
Dar es Salaam. Watu 17 wamefariki katika ajali ya basi iliyotokea usiku huu katika Kijiji cha Tinde wilayani Shinyanga Baada ya magari mawili kugonganga uso kwa uso.



Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Muliro Jumanne amesema ajali hiyo iliyohusisha lori aina na Scania na gari godo aina ya Noah imesababisha vifo vya watu 17 papo hapo.
Kamanda amesema kati ya watu waliopoteza maisha, 15 ni watu wakubwa na wawili watoto.
Amesema chanzo cha ajali hiyo atakizungumzia leo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!