Zubeyda akiwa na Josephat Tunner, mlemavu wa ngozi anayetetea haki za walemavu wa ngozi(albino) Tanzania, katika hafla fupi kwa ajili ya kuchangia watu wenye ulemavu wa ngozi. Hafla hiyo ilifanyika mapema wiki iliyopita huko nchini Uingereza.
Zubeyda & hubby
Dinner and Dance to raise money for Albinism
No comments:
Post a Comment