Siku zote kwenye Maisha Amini kuwa Mwenyezi Mungu Ndio Mpanga wa kila jambo na Si Binadamu yoyote...yeye ndio akisema liwe linakuwa, lisiwe haliwi na hakuna ataeweza Mpinga....hivyo jitahidi kumshukuru Mwenyez Mungu kwakila jambo maana yeye ndio kalipanga na Kwa Makusudio yake...pia, tujitahidi kuwa wema kwa matendo tuyafanyayo eidha yaonekanayo na watu na hata wasioyaona...Maana uzuri wa matendo yako, humfanya Mwenyez Mungu akujaalie Mema pia
Monday, 10 October 2016
MUNGU NDIYE MPANGAJI WA KILA JAMBO-DIAMOND
Siku zote kwenye Maisha Amini kuwa Mwenyezi Mungu Ndio Mpanga wa kila jambo na Si Binadamu yoyote...yeye ndio akisema liwe linakuwa, lisiwe haliwi na hakuna ataeweza Mpinga....hivyo jitahidi kumshukuru Mwenyez Mungu kwakila jambo maana yeye ndio kalipanga na Kwa Makusudio yake...pia, tujitahidi kuwa wema kwa matendo tuyafanyayo eidha yaonekanayo na watu na hata wasioyaona...Maana uzuri wa matendo yako, humfanya Mwenyez Mungu akujaalie Mema pia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment