Sunday, 30 October 2016

MISS TANZANIA 2016 DIANA EDWARD LUKUMAI



 Warembo walioingia Top 5. Wa kwanza kushoto ni Diana Edward Lukumai aliyeibuka mshindi na kuvikwa taji la Miss Tanzania 2016.


Miss Tanzania 2016, Diana Edward Lukumai katika pozi.

Miss Kinondoni 2016, Diana Edward Lukumai aimeibuka kidedea kwa kutwaa taji la Miss Tanzania 2016. Shindano hilo kwa mara ya kwanza limefanyika jijini Mwanza katika ukumbi wa Rock City Mall. Diana ameibuka kidedea na kuwabwaga wenzake 30

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!