Saturday, 29 October 2016

HAPPY BIRTHDAY MR. PRESIDENT.

Tarehe kama ya leo, 29 October 1959, takribani miaka 57 iliyopita katika kijiji cha CHATO, alizaliwa mtoto kwenye familia ya mkulima. Mungu alimpa ulinzi na akalelewa kwa misingi ya kitamaduni. Mtoto huyo ndiye kiongozi wa nchi yetu.


HAPPY BIRTHDAY MR. PRESIDENT.
Tunakuombea kwa Mungu uzidi kufanikiwa kwa kila jambo na uwaongoze wananchi wako katika haki na usawa. Tutakupa uhirikiano mzuri katika kufanikisha ndoto yako ya kuwatoa watanzania katika UMASKINI

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!