Saturday, 10 September 2016

PENDEZA NA MISHONO/MITINDO YA VITENGE KWA WOTE!


 
Raha ya kitenge unashona unavyotaka, kuendana na ulivyo, zamani ilikuwa kitenge kinashonwa kawaida mno bila manjonjo mengi.sasa hivi kitenge ndio vazi la ofisini casual outfits etc, ni kiasi cha kumwambia fundi wako barazani tu, akunogeshe kwa mtindo unataka!








 Why not Kitenge kwa Red carpet?

Beautiful Hi-low skirt!

 Gigy" Kanoga na kitenge!
































Akina baba nao wanaogaje na mishono ya kitenge!




No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!