Thursday, 1 September 2016

JUICE YA NANASI NDIMU NA TANGAWIZI


VIPIMO.
Nanasi 1/2 (lilomenywa na kukatwa katwa)
Maji ya ndimu 2
Tangawizi kipande kidogo (ilomenywa)
Sukari kiasi ( ukipenda)

Maji safi ya kunywa kiasi
JINSI YA KUTENGENEZA

1. Tia nanasi na tangawizi katika blender kisha saga na maji kiasi hadi iwe smooth.
2. Tia sukari kisha saga tena kidogo. Chuja juice yako, tia maji ya ndimu na koroga vizuri kuchanganya.
3. Mimina katika judge kisha tia katika fridge ipate. Enjoy!

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!