Friday, 2 September 2016

Ismaili Mussa Sumajr na uchambuzi wa Ndoa na uhusiano!


Kilo moja ya MAWE ni nzito kuliko kilo moja ya MANYOYA, hili nimelifanyia Utafiti na imethibitika kwa kupitia Sampling ya NDOA na MAHUSIANO kadhaa kitaani, ukitaka kujua kilo moja ya Mawe ni Nzito Basi Mke aende safari kisha aseme analala hukohuko wakati aliaga anarudi hapa hatoeleweka kamwe kwanini abadili gia Angani??? Lazima akirudi either kichapo, talaka au ajieleze kwanini asichukuliwe hatua za kinidhamu kwa kujichukulia hatua mkononi??!! Akichepuka hapa hatari kabisa kilo moja yake inakuwa nzito hatari sana, 

Sasa kilo moja ya Manyoa yenyewe ni nyepesi siku zote ukitaka kuamini mume anaweza toka nyumbani Kiwalani Kijiwe Samli akaaga anaenda kumsalimia Rafiki yake mgonjwa Vituka kwa Alimboa kisha akasema mgonjwa kazidiwa kwahiyo nitarudi asubuhi na mambo yakawa pouwah tu usisikie mikwala na hata Rafiki mwenyewe ni wakubuni tu kama muhusika wa katika riwaya.

Usisahau kilo moja ya mawe ni nzito kuliko ya Manyoa.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!