Tuesday, 20 September 2016

AJALI: BASI LA NEW FORCE LAUA WATU 12 IRINGA


AJALI: Watu 12 wamefariki na 19 kujeruhiwa baada ya basi la New Force lililokuwa likitoka Dar kwenda Songea kupinduka eneo la Kifanya mkoani Njombe.
- Zoezi la uokoaji wa majeruhi na miili ya watu lilimalizika saa 8 usiku.





4.jpg

3.jpg



No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!