Saturday 6 August 2016

WAZIRI DK.KIGWANGALA AVAMIA TENA OFISINI KWA DR.MWAKA

Naibu Waziri wa Afya, Dk Hamisi Kigwangalla ameibuka tena kwenye kiliniki ya Dk Juma Mwaka ili kufanya ukaguzi wa kinachoendelea katika kliniki hiyo ambayo hivi sasa imebadilishwa jina na kuwa kampuni.


Dk Kigwangalla ambaye amefanya ziara ya kushtukiza katika kiliniki hiyo kama alivyowahi kufanya mara baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo.
Kabla ya Dk Kigwangalla kuingia katika kliniki hiyo kufanya ukaguzi alisubiri kupata kibali cha polisi ili kuweza kuingia ndani ya jengo la Dk Mwaka.

Chanzo: Mwananchi

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!