Saturday, 20 August 2016
UBISHI SI MZURI!
Waziri wa Mifugo katembelea mradi wa NYUKI, alipofika getini Mlinzi akamwambia haruhusiwi mtu kuingia kwa sasa!
Waziri kwa hasira akamjibu Mlinzi kwani hujui mimi ni nani huku akimwonesha kitambulisho!
Mlinzi kwa utii, akamwambia haya ingia muheshimiwa!
Baada ya muda mfupi, Waziri alisikika akiita Mlinzi, Mlinzi NYUKI wamenivamia-Mlinzi AKAJIBU waoneshe kitambulisho huenda HAWAKUJUI WEWE NI NANI?!...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment