Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani hapa Leonce Rwegasira alisema hayo jana wakati kizungumza na waandishi wa habari mjini Morogoro ambapo alisema tukio lilitokea Agosti 8 mwaka huu majira ya saa 3,15 usiku huko maeneo ya Samaki samaki Kihonda Bima manispaa ya Morogoro.
Rwegasira alisema watuhumiwa hao wa ujambazi ambao hawajafahamika walitumia usafiri wa Pikipiki aina ya Boxer wakiwa na silaha aina ya bastola,walimvamia mfanyabiashara mkazi wa Kihonda Bima wakati akirudi nyumbani kwake kwa kumfyatulia risasi iliyomjeruhi na kumsababishia kifo Salvatory.
MWANANCHI:
MWANANCHI:
No comments:
Post a Comment