Uhakiki ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Awamu ya Tano kupambana na ufisadi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti na Utumishi wa Umma), Angela Kairuki amesema suala hilo limekuja miezi sita baada ya Jaji Salome Kaganda, ambaye ni mwenyekiti wa Sekretarieti ya Maadili ya Umma, kulalamika kuwa kuna mawaziri na manaibu ambao hawajazi fomu za kutangazia mali zao na kutaka waadhibiwe.
No comments:
Post a Comment