skip to main |
skip to sidebar
MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA MPANDA
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakimtazama mtoto Nchambi Peter aliyeungua moto wakati walipotemblea hospitali ya wilaya ya Mpanda Agosti 21, 2016. Kulia ni Mam wa mtoto huyo, Dotto Makengele. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment