Thursday, 11 August 2016

Mahakama Kuu yatengua hukumu ya awali ya kuwafutia shtaka la utakatishaji fedha aliyekuwa Kamishna Mkuu wa TRA, Kitilya na wenzake.



 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ilifuta shtaka la utakatishaji fedha lililokuwa likiwakabili.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!