DAR: Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua kundi la kisanii la “ Original Comedy" kwa kuvaa mavazi yanayoshabihiana na ya Polisi.
Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Polisi, Advera Bulimba ameeleza kuwa wanatoa onyo kali kwa mtu ama kikundi chochote kuacha kutumia mavazi yanayofanana na sare zinazovaliwa na majeshi ya ulinzi na usalama hapa nchini na atakayebainika hawatasita kuchukua hatua kali za kisheria dhidi yake.
No comments:
Post a Comment