
Habari tulizozipata usiku huu wa Agosti 23, 2016 ni kuhusu kuuawa kwa askari polisi kufuatia tukio la uporaji lililotokea katika bank ya CRDB tawi la Mbande, Mbagala jijini Dar es salaam.
Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro amethibitisha kutokea kwa tukio hili>> "Ni kweli kumetokea tukio la uvamizi hapa mbagala lakini kwa taarifa kamili ntazitoa kesho kwakuwa bado nipo eneo la tukio kwa ajili ya uchunguzi zaidi"













No comments:
Post a Comment