fuvu la Chifu wa Wahehe,mtwa Mkwawa.
SERIKALI imeiomba familia ya Chifu wa Wahehe,mtwa Mkwawa, kuwa watulivu na kushirikiana nayo katika kuendeleza na kuhifadhi historia ya shujaa huyo wa kupigiwa mfano ili historia yake iendelee kuwapo, na kuwafunza vijana uzalendo kwa taifa lao.
Ombi hilo limetolewa juzi na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura wakati alipotembea makumbusho ya kiongozi huyo.
Mkwawa aliongoza jeshi la majemedari wa kabila la Wahehe kupambana dhidi ya uvamizi wa Wajerumani zaidi ya miaka 120 iliyopita
NIPASHE.
Mkwawa aliongoza jeshi la majemedari wa kabila la Wahehe kupambana dhidi ya uvamizi wa Wajerumani zaidi ya miaka 120 iliyopita
NIPASHE.

No comments:
Post a Comment