Maisha yako ni UJUMBE kwa wanaokuzunguka.Je wewe maisha yako yana ujumbe gani?Ukipita nyuma unaacha Ujumbe gani?
Mpambanaji,mwenye kujituma,mwenye upendo,mkweli,hukubali kushindwa,mvumilivu, mnyenyekevu,mwenye kujitoa,mcheshi uwepo wako unaleta furaha na vicheko kwa wenzako,mwenye kujitolea uwepo wako Huleta nuru na faraja kwa wanaokuzunguka,muamsha Ari uwepo wako unafanya watu kujituma na kufanikisha.Mwenye kuchochea upendo na mshikamano?

MAISHA yako yanaacha ujumbe gani? Unaonekana mtu wa kushindwa,Mchoyo,mwizi,kicheche,
tapeli,muongo muongo,mchochezi na mgomvi,msengenyaji,mfitini,mwenye husda na mafanikio ya wenzako,mzushi na muongea mbovu juu ya wengine,ukifungua kinywa ni maneno ya karaha na matusi,mwenye visasi na mbomoaji wa maisha ya watu,Jeuri na mbabe?huna faida yoyote upo upo tu,

Mimi sijui ila hakikisha maisha yako yanakuwa na ujumbe mzuri,ujumbe chanya kwa wanaokuzunguka.Binadamu hatujakamilika mapungufu tunayo ila mazuri yazidi mabaya.Wapo ambao watahakikisha ujumbe wako unakuwa mbovu lakini hawawezi iwapo wewe unajitambua.
Je Maisha yako yana UJUMBE gani kwetu?familia na jamii yako?
No comments:
Post a Comment