Thursday, 18 August 2016

DAR: Akutwa amejinyonga juu ya mti karibia na Mlimani City


Kijana mmoja akutwa amefariki kwa kujinyonga na shuka juu ya mti. Tukio hilo limetokea karibia na jengo la Mawasiliano jijini Dar.


- Chini ya mti kulikuwa na begi lenye nguo, amekutwa na jeraha mkono wa Kushoto na damu maeneo ya kifuani.
Kwa mujibu wa Mashuhuda kijana huyu amekutwa amejinyonga na Kipande cha shuka na chini yake kulikuwa na begi lenye nguo yani inaonyesha kuwa huyu Kijana alikuwa katoka safarini pia marehemu amekutwa na anajiraha mkono wa Kushoto na damu katika flana maeneo ya kifuani.

Mashuhuda wanasema kuwa inawezekana kuwa huyu kijana alipigwa na watu kisha alipofariki wakamtundika Mtini ili aonekanike kama kajiyonyanga mwenyewe maana amekutwa kaumia mkononi pia ana damu kifuani kwamujibu wa mashuhuda wanasema mtu anayejinyonga huwa lazima akutwe kajinyea au kajikojolea marehemu amekutwa yuko safi kabisa, pia Mtu aliyejinyonga huwa atoki Damu kwaiyo inawezekana kuwa alipigwa kisha akatundikwa mtini ili aonekane kama kajinyonga mwenyewe..

M/mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.. Amin

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!