Saturday 6 August 2016

Afungwa jela maisha kwa kubaka mtoto



Dar Es Salaam. Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imemuhukumu kifungo cha maisha jela, dereva taksi Ally Mzako (29) baada ya kupatikana na hatia ya kubaka mtoto wa miaka mitano.



Mzako ambaye ni mkazi wa Kinondoni, anadaiwa kumbaka mtoto huyo ndani ya gari, wakati mama wa mtoto huyo alipomuacha katika taksi hiyo na kwenda katika duka la kubadilishia fedha za kigeni.
Akisoma hukumu hiyo, Hakimu Mkazi Flora Haule amesema ameridhishwa na ushahidi wa mashahidi sita wa upande wa mashtaka waliotoa mahakamani hapo dhidi ya mshtakiwa

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!