Mkazi mmoja wa Tunduma mkoani Mbeya aliyefahamika kwa jina moja la Adam ameunda helikopta hii ambayo inatarajia kuzinduliwa rasmi siku mbio za Mwenge wa Uhuru utakapofika Tunduma..