Saturday 9 July 2016

TOKA KWA ABDULMALIK ABDURLAZIZ





Anayekupenda kwa dhati daima atakuenzi,atakuheshimu,atakuthamini,atakujali,atajitoa mhanga na atajinyima kwa ajili yako.Ukiona mwenza wako hana hizo sifa,tafakari upya mahusiano yenu kwani huyo ni basi ya mwendokasi na ipo siku atakutosa njia panda.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!