Sunday 3 July 2016

MWANAMKE NA CHANGAMOTO ZA MAISHA

Nani kama mwanamke? baki ya kuwa kiungo cha familia bado mwanamke huyo huyo
 amekuwa akikumbana na changamoto mbalimbali za maisha ya kila siku, lakini kwa kundi la wanawake vijijini changamoto hizi zimekuwa ni maradufu ukilinganisha na zile za wanawake wanaoishi mjini na wenye fursa mbalimbali. Zifuatazo ni baadhi ya changamoto hizi ambazo hukumbana nazo wanawake vijijini .





Wanawake nyumbani ndio watafutaji zaidi wa maji vijijini, pichani binti akikokota baskeli yenye mzigo wa ndoo nne za maji kuelekea nyumbani. Picha hii imepigwa Kijijini Kishapu mkoani Shinyanga.



Shida ya maji kwa baadhi ya vijiji vya Wilaya ya Kishapu huwapa changamoto hata akinamama ambao umri wao umekwenda kidogo. Pichani ni mmoja wa akinamama aliyekula chumvi nyingi akiteka maji kwenye kisima cha msimu.
Shida ya maji kwa baadhi ya vijiji vya Wilaya ya Kishapu huwapa changamoto hata akinamama ambao umri wao umekwenda kidogo. Pichani ni mmoja wa akinamama  akiteka maji kwenye kisima cha msimu.


Maji safi na salama bado ni tatizo kubwa





No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!