Mshambuliaji toka Sweden Ibrahimovic leo ametia saini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Manchester United. Hii ni baada ya muda mrefu wa uvumi kuhusu klabu atakayotua baada ya kuihama klabu ya PSG.