Thursday 14 July 2016

Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe kafunga ndoa leo Zanzibar

Sasa ni Mr. & Mrs, mbunge wa kigoma mjini na kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amemuoa mpenzi wake aliyemvisha pete ya uchumba miezi miwili iliyopita, ndoa na tafrija zote zimefanyika Zanzibar


zito pete
Siku ambayo Zitto Kabwe alimvisha pete mpenzi wake
IMG-20160714-WA0005
wakati wakifunga ndoa leo Zanzibar
Zitto 4Zitto 5

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!