Monday, 25 July 2016
Kutoka Mahakama Kuu Iringa: Askari aliyemuua Mwangosi akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia.
Kutoka Mahakama Kuu Iringa: Askari aliyemuua Mwangosi akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia. Adhabu yake itatajwa tarehe 27/07/2016.
Mahakama imesema hakukuwa na ushahidi wa kutosha kusema kwamba aliua kwa kukusudia.
Aidha, wamemtia hatian kwa confession yake mwenyewe ambayo badae aliikataa.
Mahakama imejiuliza maswali, ni kwanini RCO na RPC hawakuhojiwa au mpiga picha wa gazeti la Mwananchi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment