Thursday, 7 July 2016
Kijana mwingine mweusi(African-American) auawa tena leo na Polisi akiwa kwenye gari yake huko Minnesota.
MAREKANI: Kijana mwingine mweusi(African-American) auawa tena leo na Polisi akiwa kwenye gari yake huko Minnesota. Alikuwa akitaka kuonyesha leseni.
Juzi kijana mwingine aliuawa na polisi katika jimbo la Louisiana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment