AJALI: Treni yagongana na gari la UDA eneo la Gerezani - Kariakoo, Dar
Ajali mbaya sana imetokea mda huu kariakoo gerezani watu sita wamepoteza maisha apo akiwemo konda wa kampuni ya Uda dereva kakimbia Mungu awalaze mahali pema wote waliopoteza maisha
No comments:
Post a Comment