Wednesday 15 June 2016

TAIFA LINA UHABA WA DAMU

Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. LU
Dodoma. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema Taifa lina uhaba mkubwa wa damu salama lakini wananchi hawana mwamko wa kuchangia damu kwa kuwa wanapochangia hutakiwa kununua damu hiyo.


Akizungumza jana kwenye maadhimisho ya kuchangia damu salama yaliyofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Nyerere square Mwalimu amesema kuwa tabia ya waganga Wakuu wa Hospitali za Wilaya na Mikoa kuwauzia damu wagonjwa ndiyo chanzo cha wananchi kutokuwa na moyo wa kuchangia damu.
Amesema wananchi wamekuwa wakikatishwa tamaa na madaktari pale wanapokuwa na wagonjwa wanaohitaji damu kutakiwa kununua damu hiyo.
MWANANCHI.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!