Nselu alisema bunduki hizo zinahusishwa na matukio mbalimbali ya uhalifu yaliyotokea mikoa ya Mwanza na Tanga.
Katika tukio hilo, polisi na kundi la wahalifu walirushiana risasi na mmoja wa watuhumiwa hao kuuawa.
Pia, polisi wamemkamata mkazi wa Bariadi mkoani Simiyu anayedaiwa kusafirisha bunduki aina ya SAR yenye namba za usajili 19491R-7LA4119, ikiwa na risasi 90 na ‘magazine’ kwa kutumia gari aina ya Toyota Probox
No comments:
Post a Comment