Wednesday, 29 June 2016

PENDEZESHA NYUMBA YAKO KWA BUSTANI YA MAUA!





 English roses!



E



Nimeipenda hii, ila kumbuka ukitaka kufanya kama hizi ni lazima uwe na kopo la plastick kwa ndani lenye kupitisha maji, kwa sababu maji akijaa mizizi inaoza, kwa hiyo upadaji huu (pichani) kuna kopo lingine kwa ndani na hiyo ya juu ni katika kuleta ladha tofauti ya bustani yako.












Hii ni katika kuleta mwonekano tofauti kwa bustani yako!'

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!