Monday, 27 June 2016

Mwili wa mwanamke mmoja umeokotwa vichakani kwenye ufukwe maarufu wa COCO.


DAR: Mwili wa mwanamke mmoja umeokotwa vichakani kwenye ufukwe maarufu wa COCO.

- Jeshi la Polisi lilifanikiwa kuuokota mwili huo baada ya wananchi kutoa taarifa kwa Jeshi hilo




Baada ya kuzinduliwa vituo vya polisi vinavyohamishika tayari wananchi wa Masaki jijini Dar es Salaam wameanza kuonyesha ushirikiano wa kutoa taarifa za uhalifu katika kituo hicho.

Kufuatia wananchi kutoa ripoti mtu mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja ambaye ni mwananmke mwili wake umeokotwa katika vichaka vya ufukwe Coco Beach karibu na kituo hicho cha Polisi.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!