Monday, 13 June 2016

MWANAMKE ANAPOOLEWA ANATEGEMEA KUTUNZWA, KUPENDWA NA KUTHAMINIWA NA SI VINGINEVYO! KHA!


Badala mume akupe matunzo mazuri unawiri na upendeze anakupa mateso ufubae na uchoke kabla ya umri wako na wewe uko tuu hapo....Limwanaume la hivi Liwacheeeeeee....






Miaka mitano unapigwa bado uko kwa hiyo nyumba? Unangoja kuuliwa au? Wanawake tuache ujinga, tafuta mwanaume wa Kweli atakaekupa mapenzi na dyudyu vizuri, achana na kishoia asiejitambua... Mume ni huduma bora kwa mkewe siyo makonde mpaka mke apoteze fahamu mxiuuuuuuuu 

Badala mume akupe matunzo mazuri unawiri na upendeze anakupa mateso ufubae na uchoke kabla ya umri wako na wewe uko tuu hapo....Limwanaume la hivi Liwacheeeeeee....

Ebu ona hata Kazi hataki ufanye huyo mwanaharamu, ili azidi kukudhalilisha mxiuuuuuuuuuu... Ndo maana umemvumilia miaka yote hiyo anakudunda tuu na wewe umo... Sasa Anza upya hujachelewa nasema Liwacheeeeeeee likatafute ngoma ya kupiga deileeeeeee mxiuuuuuuuuu...wewe utampata mwanaume wa kweli atakaekupa pepo ya dunia



CHANZO:JOYCE KIRIA.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!