Daktari
Bingwa wa Upasuaji wa Mifupa Dk.Richald Gellman kutoka Califonia - San
Fransisco Marekani (kushoto), akiwaonesha kifaa Chuma, maalumu kinacho
tumika kufanya marekebisho ya mifupa iliyo pinda baada ya kuunga vibaya
au kutounga kabisa.
Madaktari mbalimbali kutoka nchi mbalimbali , Kenya, Burundi, Rwanda, Zambia, DRC Congo, Nigeri, Zimbabwe na wenyeji wao Madaktari wa Taasisi hiyo wamehudhuria Mkutano huo utakaomalizika Juni 3, 2016 , unaendelea katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mifupa ya Fahamu Muhimbili (MOI)

Dar es Salaam leo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Pichani ni baadhi ni vifaa
Madaktari Bingwa wakiwa katika chumba cha mikutano katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Moi
Mmoja wa Maktari Bingwa wa Taasisi hiyo mwenye miwani mbele Dk. Moonlight Mnyenye akiandika jambo wakati wa mkutano huo
No comments:
Post a Comment