Thursday, 23 June 2016

LUQMAN ALLY AMEPOTEA NA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

Luqman Ally (14) anatafutwa na wazazi wake, amepotea tarehe 13 Juni mwaka huu, anasoma shule ya Msingi Mbagala Islamic Darasa la Sita iliyopo Mbagala jijini Dar es Salaam.



Mara ya kwanza alitoroka wiki mbili zilizopita na akapatikana katika kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira Magumu cha Chad kilichopo Mazese.
Taarifa imetolewa katika kituo cha Polisi cha Majimajitu Mbagala jijini Dar es Salaam kwa  RB .NO MAT/RB/618/16. 

Yeyote ambaye atamwona mtoto huyo apige


NAMBAYA YA SIMU. 0655891200. MAMA YAKE MZAZI WA LUQMAN.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!