Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Edward Lowassa leo Jumatatu 27/06/2016 amefuturisha baadhi ya wakazi waishio katika jiji la Dar es salaam akiongozana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe na viongozi mbalimbali wa Chadema.
Mama Regina Lowassa akiwa na baadhi ya kina mama waliojumuika na kupata futari ya pamoja.
No comments:
Post a Comment