Maandalizi na Mahitaji
jinsi ya kupika
jinsi ya kuandaa chai ya mziwa hatua kwa hatua
- Weka maziwa juu ya moto, yakichemka tia majani
- Halafu endelea kutia hiliki, mdalasni, tangawizi na karafuu huku unakoroga kwa dakika 2-3
- Epua, chuja wakati unamimina kwenye chupa ya chai au chombo chochote kisafi
No comments:
Post a Comment