Leo Juni 1 basi jungine la mwendo kasi limepata ajali eneo la makutano ya barabara Shekilango na kusababisha msongamano mkubwa wa magari.
Mamlaka husika zilitoa taarifa kuwa kwa muda wa wiki tatu ambao magari haya yamekuwa yakitoa huduma, mabasi 34 tayari yalikuwa yamepata ajali. Kila gari moja liligharimu kati ya milioni 2.5 hadi milioni 3.5 kutengeneza.
No comments:
Post a Comment