TIMU ya Dar Young Africans imefuzu kucheza hatua ya makundi kombe la shirikisho barani Afrika baada ya kushinda kwa tofauti ya jumla ya magoli baada ya mechi yao na Sagrada iliyochezwa leo kumalizika kwa Yanga kufungwa 1 - 0 na kufanya jumla ya magoli kuwa Yanga 2 - 1 Sagrada.
Yanga ilishinda katika mchezo wake wa kwanza uliochezwa jijini Dar-es-salaam kwa jumla ya magoli 2 - 0 na leo Sagrada imeifunga Yanga Goli Moja hivyo Yanga kusonga mbele katika hatua ya Makundi.
No comments:
Post a Comment