Pichani ni wasanii wakongwe kwenye Bongo Fleva namzungumzia TID na Jay Moe wakiwa stejini usiku wa jana tarehe 29 akiwa ni show ya kumkumbuka Albert Mangwear aliyefariki miaka 3 iliyopita tarehe 28th May 2013. Wasanii walikuwa kibao na hizi ni baadhi ya picha ya sehemu ya tukio hilo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment