Monday, 9 May 2016
WANAMUZIKI WAKONGWE NCHINI CONGO WAMUENZI MAREHEMU PAPA WEMBA
Wakali wa muziki waliotamba na wanaoendelea kutamba nchini congo akiwemo mwanadada maaarufu Yondo Sister,Bozi boziana na wengineo, wakiwa katika nyimbo ya pamoja kuonyesha mapenzi na kumuenzi aliyekuwa nguli wa Muziki Afrika marehemu Papa Wemba, aliyefariki mapema wiki tatu zilizopita.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)













No comments:
Post a Comment