Monday, 30 May 2016
WABUNGE WAKIZOZANA NJE YA UKUMBI BAADA YA BUNGE KUAHIRISHWA
Bunge limechafuka muda huu baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari kuomba mwongozo wa kujadili hoja ya wanafunzi zaidi ya 700 waliofukuzwa chuoni ijadiliwe kama hoja ya dharura.
Naibu spika akaendeleza ubabe hivyo wabunge wa vyama vyote walisimama na kutoka nje.
Chanzo: Radio One
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment