Wednesday, 4 May 2016

VIDEO YA CHURA YAPIGWA STOP!


Video ya Snura maarufu "Chura" imepigwa marufuku kuonyeshwa au kupigwa popote kwenye vyombo vya habari, serikali pia imesitisha maonyesho ya hadhara ya mwanamuziki huyo mpaka atakapokamilisha taratibu.






No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!