RATIBA YA KUWASILI NA MAZISHI YA MPENDWA
WETU
ANDREW NICKY SANGA
Ndugu zetu pamoja na Marafiki; Kwa niaba ya Familia ya
Bwana Nicky Amon Sanga, Kamati ya Maandalizi inapenda kuwajulisha Ratiba ya
Safari ya Mpendwa wetu ANDREW NICKY SANGA hapa Tanzania kuanzia kuwasili kwa
mwili wa Marehemu hadi tutakapomweka kwenye nyumba yake ya Milele.
Muda
|
Tukio
|
Mahali
|
Wahusika
|
DAR ES SALAAM
|
|||
Jumanne 3 Mei 2016
|
|||
3:55 Usiku
|
Mwili kuwasili
|
Uwanja wa Ndege: Julius Nyerere
|
Familia, Ndugu, Marafiki na Jamaa Wote
|
4:30-5:30 Usiku
|
Kuelekea Kuhifadhi Mwili
|
Hospitali ya Taifa Muhimbili
|
Familia, Ndugu na Marafiki na Jamaa Wote
|
Jumatano 4 Mei 2016
|
|||
4:00-6:00 Asubuhi
|
Ibada ya Kuaga
|
Kanisa la Kilutheri Ubungo (Nyuma ya Ubungo Plaza)
|
Familia, Ndugu, Marafiki na Jamaa Wote.
|
6:30 Mchana
|
Safari ya Kuelekea Dodoma
|
Kanisa la Kilutheri Ubungo
|
Wote Waliojiandaa.
|
DODOMA
|
|||
5:00:-6:00 Asubuhi
|
Chakula
|
Nyumbani- Kizota
|
Waombolezaji Wote
|
6:00
|
Kuelekea Uwanja wa Mashujaa
|
Waombolezaji Wote
|
|
6:30-7:20 Mchana
|
IBADA
|
Uwanja wa Mashujaa
|
Waombolezaji Wote
|
7:30-8:45 Mchana
|
Heshima za Mwisho
|
Uwanja wa Mashujaa
|
Waombolezaji Wote
|
8:46 Mchana
|
Kuelekea Makaburini
|
Waombolezaji Wote
|
|
9:20 Mchana
|
Mazishi
|
Makaburi ya Hijra Chinangali
|
Waombolezaji Wote
|
Familia inazidi kutoa shukrani za dhati kwenu wote kwa
jinsi mlivyokuwa pamoja nasi tangu mwanzo wa tukio hili hadi sasa. Mungu wa
Mbinguni Awabariki Sana.
BWANA Ametoa, BWANA Ametwaa, Jina la BWANA Lihimidiwe.
Imetolewa na Dr. George Longopa
KNY Kamati ya Maandalizi ya Dar es Salaam
Simu 0754 870969
No comments:
Post a Comment