Friday 6 May 2016

PICHA NA MATUKIO!



Chai ya Tanzania!


Mkulima wa zao la chai akiwa kwenye shamba lake wilayani Rugwe Mbeya

 Mashamba makubwa ya chai- Tukuyu Mbeya


 Kilimo cha Chai Mbeya


Mashamba ya chai Mufindi Iringa.


Moja ya sehemu ya mashine ya kusaga chai katika kiwanda cha chai cha Katumba wilayani Rungwe

Tukuyu-Mbeya








 Korosho zikichambuliwa kwenye moja ya kiwanda wilayani Tunduru mkoani Ruvuma


 Chalinze!

Biashara ya Kuku wa kienyeji!

Chalinze eneo maarufu kwa biashara kando ya barabara.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!