Baba Mzazi wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga akiwa anapokelewa Baada ya Kuwasili Dodoma Usiku huu
Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga ukiwa unaingia nyumbani kwao Dodoma Ukitokea Dar es salaam baada ya kutua Jana kutoka Marekani
Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga ukiwa unakaribia kuingizwa nyumbani kwao usiku huu
Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga ukiwa umeshaingizwa ndani mwao usiku huu
Majonzi yakiwa yametawala nyumbani kwa wazazi wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga baada ya mwili kuwasili
Mama Zoe akiwa na majonzi baada ya kuwasili katika nyumba ya wazazi wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga
Mtumishi wa Mungu akiwa anafanya maombezi ya kushukuru kwa ndugu wote waliosafiri kufika salama
Ndugu jamaa na Marafiki wakiwa katika Msiba wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga usiku huu Dodoma
Picha zote na Fredy Njeje
No comments:
Post a Comment