skip to main |
skip to sidebar
Mbwela, Chifu wa Wazigua mkoani Tanga, aliyetia saini mkataba na Karl Peters mwaka 1884.
Mbwela, Chifu wa Wazigua mkoani Tanga, ndiye aliyekuwa mtawala wa jadi wa kwanza kutia saini mkataba na Dk. Karl Peters mwaka 1884.
No comments:
Post a Comment